Recent News and Updates

SUMMIT OF THE FUTURE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York… Read More

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ampongeza Rais Samia kusimamia ulinzi na usalama

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye Makuu ya umoja huo na kujadiliana masuala kadhaa yakiwemo ya maendeleo ya jamii, ulinzi na usalama, siasa na ushirikiano wa… Read More

Dkt. Tulia atembelea Ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, New York

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 8 Februari, 2024 ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani zilizopo katika Jiji la New… Read More

WORLD KISWAHILI LANGUAGE DAY

https://youtu.be/ZXyUWnkJPn8 Read More

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho

Mhe. Balozi Hussein Athuman Kattanga, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (kushoto) katika… Read More